O maior acervo dedicado ao RAP! 31450 letras disponíveis.

Bompo

Bompo

Letra Significado

Descrição

Descrição ainda não cadastrada.

Letra

Yow
Crazy
Wooo
What you say my nigga
Wasted Gang man
Toinoke
Hesabu zote major n'letee hesabu bila minus
Nirudie na ki TY kwa news headliners
Kanzu na leso ziko na heshima mbili tofauti
Bazuu kwa meso na tukipatana hatoi sauti
Usiharakishe siku zako za kupelekwa ushago na suti
Hii game vile tumeidraft hapa kuna msee atakula kabuti
Nikiimba coast kuna masaa hukataa kuna masaa utiii
5 star hotel naingiza jeshi yangu ya manyanguti
Miaka 50 na unamiss kubehave, zeeka na adabu
Ahead of my time kuna idhaa mi hucheka na mababu
Wasanii wangapi unaskia tumewa, fundisha adabu
Ata wengine ni bure tu, nakudiss bila sababu
Mi ni ule chizi alirogwa tena so kwa baseline naeka sauti ya masoprano
Mi ni ule fisi inachagua tu gender so ata ka ni kienyeji bado mechi ni mauwano
Head boy, nakuhеshimu nakuwashia master tano
Lakini strain ni wazimu, mastutter no
Sema chini ya maji, tuko ma orangе kush bar no
Nikiwa highschool, mi mwenyewe nilikuwa najipatiaga pano
Hakukuwa na mneti nikiwa myoung, so nilitoboa ukuta ya jirani nijiwatchie porno
Nafanya vitu mi mwenyewe najiogopa
Nachoma picha hadi sheto anatoroka
Na kuna lafa zake pale kuropoka
Nasikia amejipin nini? ati kishoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Niko na Kamene ndani ya benz, tunaandikie Mercy diss (Mercedes)
Kuna wenye inawauma lakini manzee we jua hii si diss
Hii ni ya kuongeza some streams na kuuzanga tu CDs
Hii si yangu si vis , but bado inawachomeanga CVs
I'm the first nigga mwenye huwatokea na right man leftie
Na kila time nikitokea marapper wanakimbilianga to safety
M-pesa weka password, ama nikushow vile nimejipin
Mi huchafua show ndio at least rada yangu ikuwe clean
Wanauza uwoga halafu wanapata manzee sisi si wasitiri
Wanageuza lugha alafu bado wanapata manzee sisi si watiri
Kunisikiza haitaji masikio pekee, lazima akili
Tukikusikiza uko na mdomo pekee unaisikizia kwa mwili
Akuna kitu mi huduu, mi husurvive for a living
Na kuna time mi hujiduu, lazima ni arrive ndio wabelieve me
Zimenishika adi mi mwenyewe, sijui what I'm on
But niko very sure this time I'm on my on
Nafanya vitu mi mwenyewe najiogopa
Nachoma picha hadi sheto anatoroka
Na kuna lafa zake pale kuropoka
Nasikia amejipin nini? ati kishoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka
Bombo claat, patana na itoka

Gírias

Gírias ainda não cadastradas.